About us

Friday, October 11, 2013

PICHA ZA LULU AKIWA KATIKA KABURI LA KANUMBA


 Siku ya kumbukumbu ya kifo ch amarehem Kanumba, ambae alikua anafikisha mwaka mmoja tangu alipofariki, mastar wa movie wengi walikuwepo katika kuhakikisha shughuli hiyo inaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kutembelea kaburi la Kanumba.

Lulu akilia juu ya kaburi la Kanumba 

Lulu na mama yake Kanumba

Irene Uwoya

Lulu katika kaburi la Kanumba

Lulu na mama yake 

0 comments:

Post a Comment