About us

Friday, October 11, 2013

Lulu aamua kujichora tattoo baada ya watu kumhukum na kuwataka kumuachia Mungu jukumu hilo

Msanii wa Bongo Movie Tanzania, Elizabeth Michael "Lulu" ameamua kuchora tattoo iliyoandikwa "Only God Can Judge Me" chini ya
shingo upande wa bega lake la kushoto, baada ya kuona watu wamekuwa wakimhukum kwa
mambo ayafanyao kulliko Mungu ambae ndie mwenye cheo chake, na kuwataka watu kumuachia jukumu hilo Mungu pekee, na kucha kujipa u-busy usio wa lazima


0 comments:

Post a Comment