
Kila
msanii anapotoa single kali kila mmoja anatamani kusikia itakayofata
itakuaje? hii inatokea hata kwa Madee ambae ‘Pombe yangu’ ilimpa nguvu
ya kutosha kumiliki chati za radio na TV na hata kumpa show za zaidi ya
milioni 100.
Time hii naitumia kukualika kusikiliza single yake mpya ya ‘tema mate tuwachape’ ft Richard
0 comments:
Post a Comment