HOMA YA KUWA NA MAKALIO MAKUBWA INAVYOTESA WANAWAKE
Mwanadada Vanity Wonder ameamua
kuandika kitabu kusimulia kwa nini aliamua kutumia kiasi cha dola 15,000
kuchoma sindano za kukuza makalio.
Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekanikabla alikuwa mwembamba tu hana makalio. Anasema
wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume
bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.
Vanity anavyoonekana sasa baada
ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea
ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.
Anasema
kuwa kwenye process wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa
kudumu na matatizo mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu
fulani kafanikiwa kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa
wataalam wa vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na
ulemavu.
Hiki ndio kitabu cha Vanity kinavyoonekana kwenye cover.
0 comments:
Post a Comment