
Katika
picha 22 alizopost kwenye page yake ya instagram staa wa soka kutoka
Manchester United Robin van Persie, picha moja wapo ni aliyopiga na staa
wa mpira wa kikapu Mtanzania Hasheem Thabeet October 7 2013 na kuandika
‘ilikua poa kukutana na big man Hasheem Thabeet’ kisha
akaweka alama ya
mpira wa kikapu na mpira wa miguu.

0 comments:
Post a Comment