skip to main |
skip to sidebar
Mtuhumiwa wa UGAIDI wa balozi za marekani Kenya na Tanzania 1998 akamatwa Libya
Mtuhumiwa
wa ugaidi aliyehusika na shambulizi la kulipua balozi za Marekani
nchini Tanzania na Kenya mwaka 1998, Abu Anas al Liby ameripotiwa
kukamatwa nchini Libya, ikiwa ni siku chache tokea shambulizi la ugaidi
nchini Kenya kwenye maduka ya Westgate.
Taarifa zaidi soma => http://bit.ly/1aZLSel
0 comments:
Post a Comment