MATOKEO DARASA LA SABA
Kila
msanii anapotoa single kali kila mmoja anatamani kusikia itakayofata
itakuaje? hii inatokea hata kwa Madee ambae ‘Pombe yangu’ ilimpa nguvu
ya kutosha kumiliki chati za radio na TV na hata kumpa show za zaidi ya
milioni 100.

‘Kuvujisha
Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote… Sanasana
utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… Kama nimeacha kurecord
nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi
yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi… .ila Kuvujisha Unajisumbua
bure’ – Diamond
Stori
ambayo ilishika namba 1 kwenye habari 10 za AMPLIFAYA ya Clouds FM
October 7 2013 ni hii ya Polisi Mtwara kukamata vijana 11 ambao walikua
wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye cd za
magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al
Qaeda.
kumbe kuna watu wanalilia ndoa,wengine wanafanya madudu
Amini usiamini Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa!! Kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawake elfu 8 walio single wiki iliyopita waliandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa.
Lengo la maandamano yao ni
SEHEMU
kubwa ya shughuli za Serikali ya Marekani zimefungwa leo baada ya
wabunge wa nchi hiyo kushindwa kuutatua mgogoro wa bajeti. 


