MATOKEO DARASA LA SABA
Sunday, November 3, 2013
Monday, October 28, 2013
TATHMINI: HAWA NDIO MARAIS WANAOLIPWA PESA NYINGI ZAIDI DUNIANI
Rais wa Marekani analipwa Dola 400,000 (Sh 640 milioni) kwa mwaka, sawa na Sh 53.3 milioni kwa mwezi. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma analipwa Randi 2 ,917 038 sawa na zaidi ya Sh400 milioni za Kitanzania kwa mwaka, Rais wa Ufaransa, Francois Hollande Sh475 milioni, Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron Sh338 milioni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Sh277 milioni na Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba Sh226 milioni kwa mwaka. Wengine na malipo wanayopata kwa
Saturday, October 12, 2013
Baada ya ‘nani kamwaga pombe yangu’ Madee ametoa hii mpya ya ‘tema mate tuwachape’
Time hii naitumia kukualika kusikiliza single yake mpya ya ‘tema mate tuwachape’ ft Richard
Friday, October 11, 2013
Lulu aamua kujichora tattoo baada ya watu kumhukum na kuwataka kumuachia Mungu jukumu hilo
PICHA ZA LULU AKIWA KATIKA KABURI LA KANUMBA
Baada ya kukutana na picha yake hotelini hiki ndicho alichokifanya Diamond
Diamond Platnamz ambae yuko Hongkon kwa sasa, ameamua kutia saini kwenye
moja ya picha yake aliyokuta imebandikwa katika ukuta wa hoteli moja ya
ki-africa, kuonyesha shukrani kwa mmiliki wa hoteli hiyo.
Kwambaaali kama naiona picha ya Wema Sepetu, sasa sijui na yeye amesaini, lol, tutajua baadaediamondplatnumzFound it kwenye Moja ya African Restaurant huku... had to Singn kama moja ya Appreciation yangu...
(LYRICS) MR PRESIDENT/ ROMA
SONG MR-PRESIDENT
ARTIST R.O.M.A
PRODUCER J-RIDER + YUDDI
STUDIO TONGWE RECORDS
CONTACTS R.O.M.A- 0717-72007_?
romabraq@yahoo.com
INTRO
By…..Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Ikulu ni mahali patakatifu, ikulu ni mahala patakatifu,
Mimi sikucha guliwa na wananchi wa Tanzania
Kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi
Claps claps claps
By…Roma
Drop drop drop drop drop yop
Haaa haaa… yes Surprise …Tongwe records
We are here for revolution wooord
Mr. president ..welcome to white house
Thank you….aaaah …thank you ….yeaaah
VERSE….1
Mi ndo’ roma mkatoliki mwenye asili ya kiyahudi
Mpare wa milimani sa lamu ya kikwetu urewedi
We ni mkwere wa chalinze ambaye hutamsahau mnyakyusa...(Mwakyembeee)
Aliye wafundisha monduli siasa
Aliyekula kiapo kwa agano jipya la wakorintho
Subscribe to:
Posts (Atom)